1 Chronicles 2:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atai alimzaa Nathani, Nathani akamzaa Zabadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atai akamzaa Nathani, Nathani akamzaa Zabadi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Atai akamzaa Nathani; na Nathani akamzaa Zabadi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atai alimzaa Nathani, Nathani akamzaa Zabadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atai akamzaa Nathani, Nathani akamzaa Zabadi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atai akamzaa Nathani, Nathani akamzaa Zabadi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Atai akamzaa Nathani; na Nathani akamzaa Zabadi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atai alimzaa Nathani, Nathani akamzaa Zabadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Atai akamzaa Natani, naye Natani akamzaa Zabadi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Atai akamzaa Nathani; na Nathani akamzaa Zabadi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atai alizaa Natani, Natani alizaa Zabadi, Zabadi alizaa Efulali, Efulali alizaa Obedi, Obedi alizaa Yehu, Yehu alizaa Azaria, Azaria alizaa Helesi, Helesi alizaa Elasa, Elasa alizaa Sisamai, Sisamai alizaa Salumu, Salumu alizaa Yekamia, Yekamia alizaa Elisama.