1 Chronicles 2:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mzaliwa wa kwanza wa Kalebu, nduguye Yerameeli, aliitwa Mesha. Mesha alimzaa Zifu, Zifu akamzaa Maresha, Maresha akamzaa Hebroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Kalebu, nduguye Yerameeli, walikuwa Mesha, mzaliwa wake wa kwanza, aliyekuwa babaye Zifu; na wana wa Maresha, babaye Hebroni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mzaliwa wa kwanza wa Kalebu, nduguye Yerameeli, aliitwa Mesha. Mesha alimzaa Zifu, Zifu akamzaa Maresha, Maresha akamzaa Hebroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Kalebu, nduguye Yerameeli, walikuwa Mesha, mzaliwa wake wa kwanza, aliyekuwa babaye Zifu; na wana wa Maresha, babaye Hebroni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mzaliwa wa kwanza wa Kalebu, nduguye Yerameeli, aliitwa Mesha. Mesha alimzaa Zifu, Zifu akamzaa Maresha, Maresha akamzaa Hebroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Kalebu, nduguye Yarameli: Mwanawe wa kwanza Mesa aliye babake Zifu, tena wana wa Maresa aliye babake Heburoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Kalebu, nduguye Yerameeli, walikuwa Mesha, mzaliwa wake wa kwanza, aliyekuwa babaye Zifu; na wana wa Maresha, babaye Hebroni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muzaliwa wa kwanza wa Kalebu, ndugu ya Yerameli, aliitwa Mesa. Mesa alikuwa baba ya: Zifu, Zifu baba ya Maresa, Maresa alizaa Hebroni.