1 Chronicles 2:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shamai akamzaa Maoni, na Maoni akamzaa Beth-suri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shamai akamzaa Maoni, naye Maoni akamzaa Beth-Suri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mwana wake Shamai alikuwa Maoni; na Maoni alikuwa babaye Bethsuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shamai akamzaa Maoni, na Maoni akamzaa Beth-suri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shamai akamzaa Maoni, na Maoni akamzaa Beth-Suri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mwana wake Shamai alikuwa Maoni; na Maoni alikuwa babaye Beth-suri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shamai akamzaa Maoni, na Maoni akamzaa Beth-suri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mwana wa Samai ni Maoni; naye Maoni ni babake Beti-Suri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mwana wake Shamai alikuwa Maoni; na Maoni alikuwa babaye Bethsuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samai alizaa Maoni, Maoni alizaa Beti-Suri.