1 Chronicles 2:46 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kalebu alikuwa na suria, jina lake Efa. Huyu alimzalia wana wengine watatu: Harani, Mosa na Gazezi. Harani alimzaa Gazezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Efa, suria wa Kalebu aliwazaa: Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Efa, suria yake Kalebu, alimzaa Harani, na Mosa, na Gazezi; naye Harani akamzaa Gazezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kalebu alikuwa na suria, jina lake Efa. Huyu alimzalia wana wengine watatu: Harani, Mosa na Gazezi. Harani alimzaa Gazezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Efa, suria yake Kalebu, alimzaa Harani, na Mosa, na Gazezi; naye Harani akamzaa Gazezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kalebu alikuwa na suria, jina lake Efa. Huyu alimzalia wana wengine watatu: Harani, Mosa na Gazezi. Harani alimzaa Gazezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Efa, suria ya Kalebu, akamzaa Harani na Mosa na Gazezi; naye Harani akamzaa Gazezi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Efa, suria yake Kalebu, alimzaa Harani, na Mosa, na Gazezi; naye Harani akamzaa Gazezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kalebu alikuwa na habara, jina lake Efa. Huyu akamuzalia wana wengine watatu: Harani, Moza na Gazezi. Harani alizaa Gazezi.