1 Chronicles 2:47 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yadai alikuwa na wana sita: Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Yadai walikuwa: Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Yadai; Regemu, na Yothamu, na Geshani, na Peleti, na Efa, na Shaafu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yadai alikuwa na wana sita: Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Yadai walikuwa: Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Yadai walikuwa: Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Yadai; Regemu, na Yothamu, na Geshani, na Peleti, na Efa, na Shaafu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yadai alikuwa na wana sita: Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Yadai: Regemu na Yotamu na Gesani na Peleti na Efa na safu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Yadai; Regemu, na Yothamu, na Geshani, na Peleti, na Efa, na Shaafu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yadai alikuwa na wana sita: Regemu, Yotamu, Gesani, Peleti, Efa na Safu.