1 Chronicles 2:48 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kalebu alikuwa na suria mwingine jina lake Maaka. Huyu alimzalia wana wawili: Sheberi na Tirhana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Maaka, suria yake Kalebu, akamzalia Sheberi, na Tirhana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kalebu alikuwa na suria mwingine jina lake Maaka. Huyu alimzalia wana wawili: Sheberi na Tirhana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Maaka, suria yake Kalebu, akamzalia Sheberi, na Tirhana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kalebu alikuwa na suria mwingine jina lake Maaka. Huyu alimzalia wana wawili: Sheberi na Tirhana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maka, Suria ya Kalebu, akamzaa Seberi na Tirihana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Maaka, suria yake Kalebu, akamzalia Sheberi, na Tirhana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kalebu alikuwa na habara mwingine jina lake Maka. Huyu akamuzalia wana hawa: Seberi, Tirana, Safu aliyekuwa mwanzilishi wa muji wa Madimana, na Sewa aliyekuwa mwanzilishi wa muji wa Makibena na Gibea. Kalebu alikuwa vilevile na binti, jina lake Akisa.