1 Chronicles 2:50 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kalebu alikuwa na wazawa wengine pia kwa mkewe Efratha. Huri, mzaliwa wake wa kwanza, alikuwa na wana watatu: Shobali, mwanzilishi wa mji wa Kiriath-yearimu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hao walikuwa wazao wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrata, walikuwa: Shobali akamzaa Kiriath-Yearimu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao walikuwa wana wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrathi; Shobali, babaye Kiriath-Yearimu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kalebu alikuwa na wazawa wengine pia kwa mkewe Efratha. Huri, mzaliwa wake wa kwanza, alikuwa na wana watatu: Shobali, mwanzilishi wa mji wa Kiriath-yearimu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa mkuu wao wa Efrathi, walikuwa: Shobali akamzaa Kiriath-Yearimu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa mkuu wao wa Efrathi, walikuwa: Shobali akamzaa Kiriath-Yearimu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao walikuwa wana wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrata; Shobali, babaye Kiriath-Yearimu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kalebu alikuwa na wazawa wengine pia kwa mkewe Efratha. Huri, mzaliwa wake wa kwanza, alikuwa na wana watatu: Shobali, mwanzilishi wa mji wa Kiriath-yearimu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa walikuwa wana wa Kalebu. Wana wa Huri aliyekuwa mwana wa kwanza wa Efurata ni Sobali, babake Kiriati-Yearimu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao walikuwa wana wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrathi; Shobali, babaye Kiriath-Yearimu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kalebu alikuwa na wazao wengine vilevile toka kwa muke wake Efurata. Wana wa Huri, muzaliwa wake wa kwanza, walikuwa: Sobali, mwanzilishi wa muji wa Kiriati-Yearimu;