1 Chronicles 2:51 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wa pili Salma, mwanzilishi wa mji wa Bethlehemu, na wa tatu Herefu, mwanzilishi wa mji wa Bethi-gaderi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Salma akamzaa Bethlehemu, naye Harefu akamzaa Beth-Gaderi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Salma, babaye Bethlehemu; na Harefu, babaye Beth-gaderi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wa pili Salma, mwanzilishi wa mji wa Bethlehemu, na wa tatu Herefu, mwanzilishi wa mji wa Bethi-gaderi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Salma akamzaa Bethlehemu, naye Herefu akamzaa Beth-Gaderi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Salma akamzaa Bethlehemu, naye Harefu akamzaa Beth-Gaderi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Salma, babaye Bethlehemu; na Harefu, babaye Beth-gaderi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wa pili Salma, mwanzilishi wa mji wa Bethlehemu, na wa tatu Herefu, mwanzilishi wa mji wa Bethi-gaderi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Salma, babake Beti-Lehemu, na Harefu, babake Beti-Gaderi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Salma, babaye Bethlehemu; na Harefu, babaye Beth-gaderi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Salma, mwanzilishi wa muji wa Betelehemu, na Harefu, mwanzilishi wa muji wa Beti-Gaderi.