1 Chronicles 2:53 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pamoja na koo zifuatazo zilizoishi Kiriath-yearimu: Waithri, Waputhi, Washumathi na Wamishrai. (Wasorathi na Waeshtaoli walitokana na watu hao).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na koo za Kiriath-Yearimu ambazo ni: Waithiri, Waputhi, Washumathi na Wamishrai. Kutokana na watu hawa walizaliwa Wasorathi na Waeshtaoli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jamaa za Kiriath-Yearimu; Waithri, na Waputhi, na Washumathi, na Wamishrai; katika hao walitoka Wasorathi, na Waeshtaoli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pamoja na koo zifuatazo zilizoishi Kiriath-yearimu: Waithri, Waputhi, Washumathi na Wamishrai. (Wasorathi na Waeshtaoli walitokana na watu hao).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na koo za Kiriath-Yearimu ambazo ni: Waithiri, Waputhi, Washumathi na Wamishrai. Kutokana na watu hawa walizaliwa Wasorathi na Waeshtaoli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na koo za Kiriath-Yearimu ambazo ni: Waithiri, Waputhi, Washumathi na Wamishrai. Kutokana na watu hawa walizaliwa Wasorathi na Waeshtaoli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jamaa za Kiriath-Yearimu; Waithri, na Waputhi, na Washumathi, na Wamishrai; katika hao walitoka Wasorathi, na Waeshtaoli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pamoja na koo zifuatazo zilizoishi Kiriath-yearimu: Waithri, Waputhi, Washumathi na Wamishrai. (Wasorathi na Waeshtaoli walitokana na watu hao).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo koo za Kiriati-Yearimu ndio Waitiri na Waputi na Wasumati na Wamisirai; kwao hao ndiko, walikotoka Wasorati na Waestauli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jamaa za Kiriath-Yearimu; Waithri, na Waputhi, na Washumathi, na Wamishrai; katika hao walitoka Wasorathi, na Waeshtaoli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pamoja na ukoo hizi zilizoishi Kiriati-Yearimu: Waitiri, Waputi, Wasumati na Wamisira. (Wazorati na Waestaoli walitoka katika watu wale).