1 Chronicles 2:54 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Salma, mwanzilishi wa mji wa Bethlehemu alikuwa babu ya Wanetofathi, Waatroth-beth-yoabu na nusu ya Wamenahathi yaani Wasori.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa Salma walikuwa: Bethlehemu, Wanetofathi, Atroth-Beth-Yoabu, nusu ya Wamanahathi, Wazori,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Salma; Bethlehemu, na Wanetofathi, Atroth-beth-Yoabu, na nusu ya Wamenuhothi, na Wazori.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Salma, mwanzilishi wa mji wa Bethlehemu alikuwa babu ya Wanetofathi, Waatroth-beth-yoabu na nusu ya Wamenahathi yaani Wasori.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa Salma walikuwa: Bethlehemu, Wanetofathi, Waatrothi-Beth-Yoabu, nusu ya Wamenahathi, Wasori,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa Salma walikuwa: Bethlehemu, Wanetofathi, Atroth-Beth-Yoabu, nusu ya Wamanahathi, Wasori,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Salma; Bethlehemu, na Wanetofathi, Atroth-beth-Yoabu, na nusu ya Wamenuhothi, na Wazori.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Salma, mwanzilishi wa mji wa Bethlehemu alikuwa babu ya Wanetofathi, Waatroth-beth-yoabu na nusu ya Wamenahathi yaani Wasori.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Salma: Beti-Lehemu na Wanetofati, Atiroti, Beti-Yoabu nayo nusu yao Wamanahati, ndio wasori;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Salma; Bethlehemu, na Wanetofathi, Atroth-beth-Yoabu, na nusu ya Wamenuhothi, na Wazori.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Salma, mwanzilishi wa muji wa Betelehemu alikuwa babu ya: Wanetofati, Waataroti-Beti-Yoabu na nusu ya Wamenahati ni kusema Wazori.