1 Chronicles 2:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zera nduguye alikuwa na wana watano: Zimri, Etheni, Hemani, Kalkoli na Dara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Zera walikuwa: Zimri, Ethani, Hemani, Kalkoli na Darda. Jumla ya wana wa Zera walikuwa watano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Zera; Zabdi, na Ethani, na Hemani, na Kalkoli, na Darda; hao wote ni watano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zera nduguye alikuwa na wana watano: Zimri, Etheni, Hemani, Kalkoli na Dara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Zera walikuwa: Zimri, Ethani, Hemani, Kalkoli na Daido. Jumla ya wana wa Zera walikuwa watano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Zera walikuwa: Zimri, Ethani, Hemani, Kalkoli na Dara. Jumla ya wana wa Zera walikuwa watano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Zera; Zabdi, na Ethani, na Hemani, na Kalkoli, na Darda; hao wote ni watano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zera nduguye alikuwa na wana watano: Zimri, Etheni, Hemani, Kalkoli na Dara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Zera ni Zimuri na Etani na Hemani na Kalkoli na Dara, wao wote ni watano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Zera; Zabdi, na Ethani, na Hemani, na Kalkoli, na Darda; hao wote ni watano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Zera walikuwa watano: Simuri, Etani, Hemanu, Kalkoli na Dara.