1 Chronicles 2:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwana wa Karmi, alikuwa Akari. Huyu aliwaletea Waisraeli taabu kwa sababu alijiwekea nyara zilizokuwa zimewekwa wakfu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwana wa Karmi alikuwa: Akari, ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutochukua vitu vilivyotengwa kwa ajili ya kuangamizwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Karmi; Akani, yule mwenye kutaabisha Israeli, aliyekosa katika kitu kilichowekwa wakfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwana wa Karmi, alikuwa Akari. Huyu aliwaletea Waisraeli taabu kwa sababu alijiwekea nyara zilizokuwa zimewekwa wakfu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwana wa Karmi, alikuwa: Akari, ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutokuchukua vitu ambavyo vilikuwa vimewekwa wakfu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwana wa Karmi alikuwa: Akari, ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutokuchukua vitu vilivyokuwa vimewekwa wakfu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Karmi; Akani, yule aliyewataabisha Israeli, kwa kuchukua kilichowekwa wakfu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwana wa Karmi, alikuwa Akari. Huyu aliwaletea Waisraeli taabu kwa sababu alijiwekea nyara zilizokuwa zimewekwa wakfu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Karmi ni Akari aliyewaponza Waisiraeli kwa kuuvunja mwiko wa kuchukua mali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Karmi; Akani, yule mwenye kutaabisha Israeli, aliyekosa katika kitu kilichowekwa wakfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wa Karmi alikuwa: Akana, ni kusema “Taabu”. Huyu aliwaletea Waisraeli taabu kwa sababu alijiwekea vitu vilivyolaaniwa.