1 Chronicles 20:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye alipowatukana Waisraeli, Yonathani, mwana wa Shimea, nduguye Daudi, alimuua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipowadhihaki Israeli, Yonathani, mwana wa Shimea, nduguye Daudi, akamuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye huyo alipowatukana Israeli, Yonathani, mwana wa Shama, nduguye Daudi, akamwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye alipowatukana Waisraeli, Yonathani, mwana wa Shimea, nduguye Daudi, alimuua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipowadhihaki Israeli, Yonathani, mwana wa Shimea, nduguye Daudi, akamwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipowadhihaki Israeli, Yonathani, mwana wa Shimea, nduguye Daudi, akamuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye huyo alipowatukana Israeli, Yonathani, mwana wa Shama, nduguye Daudi, akamwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye alipowatukana Waisraeli, Yonathani, mwana wa Shimea, nduguye Daudi, alimuua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipowatukana Waisiraeli, Yonatani, mwana wa Simea, kaka yake Dawidi, akampiga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye huyo alipowatukana Israeli, Yonathani, mwana wa Shama, nduguye Daudi, akamwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye alipowatukana Waisraeli, Yonatani mwana wa Simea, ndugu ya Daudi, akamwua.