1 Chronicles 20:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao walikuwa wazawa wa majitu huko Gathi; nao waliuawa na Daudi pamoja na watumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hao walikuwa wazao wa Warefai huko Gathi, nao walianguka kwa mikono ya Daudi na watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao walizaliwa kwake huyo Mrefai
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao walikuwa wazawa wa majitu huko Gathi; nao waliuawa na Daudi pamoja na watumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa walikuwa ndio wazao wa Mrefai huko Gathi, nao walianguka kwa mkono wa Daudi na watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa walikuwa ndio wazao wa Warefai huko Gathi, nao walianguka kwa mikono ya Daudi na watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao walizaliwa kwake huyo Mrefai wa Gathi, nao wakaanguka kwa mkono wa Daudi, na kwa mkono wa watumishi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao walikuwa wazawa wa majitu huko Gathi; nao waliuawa na Daudi pamoja na watumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao walikuwa wamezaliwa katika mlango wa Majitu marefu huko Gati, wakauawa kwa mikono ya Dawidi na kwa mikono ya watumishi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao walizaliwa kwake huyo Mrefai wa Gathi, nao wakaanguka kwa mkono wa Daudi, na kwa mkono wa watumishi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao walikuwa wazao wa majitu kule Gati, nao wakauawa na Daudi pamoja na watumishi wake.