1 Chronicles 21:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shetani akajitokeza kuwataabisha Waisraeli, akamshawishi Daudii awahesabu watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shetani akainuka dhidi ya Israeli na kumshawishi Daudi ahesabu Waisraeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi kuwahesabu Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shetani akajitokeza kuwataabisha Waisraeli, akamshawishi Daudii awahesabu watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shetani akainuka dhidi ya Israeli na kumshawishi Daudi ahesabu watu wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shetani akainuka dhidi ya Israeli na kumshawishi Daudi ahesabu watu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi kuwahesabu Waisraeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shetani akajitokeza kuwataabisha Waisraeli, akamshawishi Daudii awahesabu watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Satani akawainukia Waisiraeli akimponza Dawidi, awahesabu Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi kuwahesabu Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shetani akaenda kinyume cha Waisraeli, akamushawishi Daudi kuwahesabu watu.