1 Chronicles 21:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nenda umwambie Daudi kwamba mimi Mwenyezi-Mungu ninampa mambo matatu. Ajichagulie mojawapo nami nitamtendea.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nenda ukamwambie Daudi, hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu: ‘Ninakupa wewe uchaguzi wa mambo matatu. Nichagulie mojawapo nitakalotenda dhidi yako.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nenda ukanene na Daudi, ukisema, Bwana asema hivi, Nakuwekea mambo matatu; katika haya ujichagulie moja, nikutendee hilo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nenda umwambie Daudi kwamba mimi Mwenyezi-Mungu ninampa mambo matatu. Ajichagulie mojawapo nami nitamtendea.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nenda ukamwambie Daudi, hili ndilo asemalo BWANA, ‘ninakupa kuchagua miongoni mwa mambo matatu. Chagua mojawapo ili nipate kulitenda dhidi yako.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nenda ukamwambie Daudi, hivi ndivyo asemavyo Bwana: ‘Ninakupa wewe uchaguzi wa mambo matatu. Nichagulie mojawapo nitakalotenda dhidi yako.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nenda ukanene na Daudi, ukisema, BWANA asema hivi, Nakuwekea mambo matatu; katika haya ujichagulie moja, nikutendee hilo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nenda umwambie Daudi kwamba mimi Mwenyezi-Mungu ninampa mambo matatu. Ajichagulie mojawapo nami nitamtendea.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenda kumwambia Dawidi kwamba: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Mimi ninakuwekea mambo matatu, ndimo uchague moja lao, nikufanyizie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nenda ukanene na Daudi, ukisema, BWANA asema hivi, Nakuwekea mambo matatu; katika haya ujichagulie moja, nikutendee hilo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kwenda kumwambia Daudi hivi: ‘Yawe anasema hivi: Ninakupa mambo matatu, nawe ujichagulie moja kati yao, nami nitakutendea vile.’ ”