1 Chronicles 21:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo Gadi akamwendea Daudi na kumwambia, “Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Jichagulie mojawapo:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Gadi akamwendea Daudi akamwambia, “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: ‘Chagua:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, Bwana asema hivi, Kubali upendavyo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo Gadi akamwendea Daudi na kumwambia, “Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Jichagulie mojawapo:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Gadi akamwendea Daudi akamwambia, “Hili ndilo BWANA asemalo: ‘Chagua:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Gadi akamwendea Daudi akamwambia, “Hili ndilo bwana asemalo: ‘Chagua:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, BWANA asema hivi, Jichagulie upendavyo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo Gadi akamwendea Daudi na kumwambia, “Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Jichagulie mojawapo:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Gadi akaja kwa Dawidi, akamwambia: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Jipatie ulitakalo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, BWANA asema hivi, Kubali upendavyo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Gadi akamwendea Daudi na kumwambia: “Yawe anasema hivi: ‘Ujichagulie jambo moja unalotaka kati ya haya: