1 Chronicles 21:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mwenyezi-Mungu akawaletea Waisraeli maradhi mabaya, ambayo yalisababisha vifo vya Waisraeli 70,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Mwenyezi Mungu akatuma tauni katika Israeli, na wanaume elfu sabini wa Israeli wakafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Bwana akawaletea Israeli tauni; nao wakaanguka wa Israeli watu sabini elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mwenyezi-Mungu akawaletea Waisraeli maradhi mabaya, ambayo yalisababisha vifo vya Waisraeli 70,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi BWANA akapeleka tauni juu ya Israeli, watu 70,000 wa Israeli wakafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi bwana akatuma tauni katika Israeli, watu 70,000 wa Israeli wakafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi BWANA akawaletea Israeli tauni; nao wakaanguka wa Israeli watu elfu sabini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mwenyezi-Mungu akawaletea Waisraeli maradhi mabaya, ambayo yalisababisha vifo vya Waisraeli 70,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipowauguza Waisiraeli ugonjwa mbaya uuao, wakafa kwa Waisiraeli watu 70000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi BWANA akawaletea Israeli tauni; nao wakaanguka wa Israeli watu sabini elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe akawaletea Waisraeli ugonjwa mukali, ambao ulisababisa vifo vya Waisraeli elfu makumi saba.