1 Chronicles 21:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akatii amri ya Mwenyezi-Mungu, akapanda juu kufuatana na neno la Gadi alilosema kwa jina la Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Daudi akakwea, akalitii lile neno ambalo Gadi alikuwa amelisema katika jina la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akakwea sawasawa na neno la Gadi, alilolinena kwa jina la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akatii amri ya Mwenyezi-Mungu, akapanda juu kufuatana na neno la Gadi alilosema kwa jina la Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Daudi akakwea akalitii lile neno ambalo Gadi alikuwa amelisema katika jina la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Daudi akakwea, akalitii lile neno ambalo Gadi alikuwa amelisema katika jina la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akakwea kulingana na neno la Gadi, alilolinena kwa jina la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akatii amri ya Mwenyezi-Mungu, akapanda juu kufuatana na neno la Gadi alilosema kwa jina la Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hilo neno, Gadi alilolisema katika Jina la Bwana, Dawidi akapanda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akakwea sawasawa na neno la Gadi, alilolinena kwa jina la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akatii amri ya Yawe, akapanda juu kufuatana na neno Gadi alilosema kwa jina la Yawe.