1 Chronicles 21:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ornani alipogeuka na kumwona yule malaika, ndipo yeye na wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Ornani alikuwa akipura ngano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Arauna alipokuwa akipura ngano, akageuka, akamwona yule malaika. Wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Arauna alipogeuka, na kumwona yule malaika, ndipo yeye na wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Arauna alikuwa akipura ngano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ornani alipogeuka na kumwona yule malaika, ndipo yeye na wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Ornani alikuwa akipura ngano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Arauna alipokuwa anapura ngano, akageuka akamwona yule malaika. Wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha, yeye akaendelea kupura ngano
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Arauna alipokuwa akipura ngano, akageuka akamwona yule malaika. Wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha, yeye akaendelea kupura ngano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Arauna alipogeuka, na kumwona yule malaika, ndipo yeye na wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Arauna alikuwa akipura ngano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ornani alipogeuka na kumwona yule malaika, ndipo yeye na wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Ornani alikuwa akipura ngano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ornani alipogeuka akamwona malaika; nao wanawe wanne waliokuwa naye walikuwa wamejificha, naye Ornani mwenyewe alikuwa akipura ngano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Arauna alipogeuka, na kumwona yule malaika, ndipo yeye na wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Arauna alikuwa akipura ngano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ornani alipogeuka na kumwona yule malaika, halafu yeye na wana wake wane waliokuwa pamoja naye wakajificha. Naye Ornani alikuwa akipepeta ngano.