1 Chronicles 21:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Daudi alimlipa Ornani kwa kumpimia shekeli 600 kamili za dhahabu kulipia uwanja huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Daudi akamlipa Arauna shekeli mia sita za dhahabu kwa ajili ya ule uwanja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akampimia Arauna thamani ya mahali pale shekeli mia sita za dhahabu kwa uzani
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Daudi alimlipa Ornani kwa kumpimia shekeli 600 kamili za dhahabu kulipia uwanja huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Daudi akamlipa Arauna shekeli za dhahabu 600 kwa ajili ya ule uwanja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Daudi akamlipa Arauna shekeli za dhahabu 600 kwa ajili ya ule uwanja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akampimia Arauna thamani ya mahali pale shekeli mia sita za dhahabu kwa uzani
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Daudi alimlipa Ornani kwa kumpimia shekeli 600 kamili za dhahabu kulipia uwanja huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akampa Ornani kwa kupanunua mahali pale vipande vya dhahabu 600 vilivyokuwa kama shilingi 45000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akampimia Arauna thamani ya mahali pale shekeli mia sita za dhahabu kwa uzani
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, Daudi akamulipa Ornani kwa bei ya vikoroti mia sita kamili vya zahabu kwa kulipia uwanja ule.