1 Chronicles 21:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu, Mwenyezi-Mungu alimwamuru malaika, naye akaweka upanga wake alani mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu akanena na yule malaika, naye akarudisha upanga wake katika ala yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana naye akamwamuru malaika; naye akaurudisha upanga wake alani mwake tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu, Mwenyezi-Mungu alimwamuru malaika, naye akaweka upanga wake alani mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA akanena na yule malaika, naye akarudisha upanga wake katika ala yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana akanena na yule malaika, naye akarudisha upanga wake katika ala yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA naye akamwamuru malaika; naye akaurudisha upanga wake alani mwake tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu, Mwenyezi-Mungu alimwamuru malaika, naye akaweka upanga wake alani mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana aliposema na yule malaika, naye akaurudisha upanga wake alani mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA naye akamwamuru malaika; naye akaurudisha upanga wake alani mwake tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, Yawe akamwamuru malaika, naye akaweka upanga wake ndani ya mufuko wake.