1 Chronicles 21:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, Daudi alipoona ya kwamba Mwenyezi-Mungu amekubali ombi lake kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Ornani, Myebusi, akatoa tambiko papo hapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo, Daudi alipoona kwamba Mwenyezi Mungu amemjibu kule kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Arauna Myebusi, akatoa dhabihu huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati huo, Daudi alipoona ya kwamba Bwana amemwitikia katika kiwanja cha Arauna, Myebusi, ndipo hutoa dhabihu huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, Daudi alipoona ya kwamba Mwenyezi-Mungu amekubali ombi lake kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Ornani, Myebusi, akatoa tambiko papo hapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo, Daudi alipoona kwamba BWANA amemjibu kule kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Arauna, Myebusi, akatoa dhabihu huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo, Daudi alipoona kwamba bwana amemjibu kule kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Arauna Myebusi, akatoa dhabihu huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati huo, Daudi alipoona ya kwamba BWANA amemwitikia katika kiwanja cha Arauna, Myebusi, ndipo alipotoa dhabihu huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, Daudi alipoona ya kwamba Mwenyezi-Mungu amekubali ombi lake kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Ornani, Myebusi, akatoa tambiko papo hapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa Dawidi aliona wakati huo, ya kuwa Bwana amemwitikia hapo pa kupuria ngano pa Myebusi Ornani, huja kutambikia hapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati huo, Daudi alipoona ya kwamba BWANA amemwitikia katika kiwanja cha Arauna, Myebusi, ndipo hutoa dhabihu huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, Daudi alipoona kwamba Yawe amekubali maombi yake kwenye uwanja wa kupepetea ngano wa Ornani, Muyebusi, akatoa sadaka palepale.