1 Chronicles 21:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Daudi hakuweza kwenda huko kumwomba Mungu shauri kwa sababu alikuwa anauogopa upanga wa malaika wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Daudi hakuthubutu kuisogelea ili kumuuliza Mungu, kwa sababu aliuogopa upanga wa yule malaika wa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala Daudi hakuweza kwenda mbele yake ili kumwuliza Mungu; kwa sababu aliona hofu kwa ajili ya upanga wa yule malaika wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Daudi hakuweza kwenda huko kumwomba Mungu shauri kwa sababu alikuwa anauogopa upanga wa malaika wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Daudi hakuthubutu kuisogelea ili kumwuliza Mungu, kwa sababu aliuogopa upanga wa yule malaika wa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Daudi hakuthubutu kuisogelea ili kumuuliza Mungu, kwa sababu aliuogopa upanga wa yule malaika wa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala Daudi hakuweza kwenda mbele yake ili kumwuliza Mungu; kwa sababu aliona hofu kwa ajili ya upanga wa yule malaika wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Daudi hakuweza kwenda huko kumwomba Mungu shauri kwa sababu alikuwa anauogopa upanga wa malaika wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Dawidi hakuweza kwenda huko kumtafuta Mungu, kwa kuwa alikuwa ametishwa na upanga wa yule malaika wa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala Daudi hakuweza kwenda mbele yake ili kumwuliza Mungu; kwa sababu aliona hofu kwa ajili ya upanga wa yule malaika wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Daudi hakuweza kwenda kule kumwomba Mungu shauri kwa sababu alikuwa anaogopa upanga wa malaika wa Yawe.