1 Chronicles 21:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu hakupendezwa na jambo hilo kwa hiyo akaiadhibu Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amri hii ilikuwa mbaya machoni pa Mungu pia; hivyo akaiadhibu Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno hilo likawa baya machoni pa Mungu; kwa hiyo akawapiga Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu hakupendezwa na jambo hilo kwa hiyo akaiadhibu Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amri hii ilikuwa mbaya machoni pa Mungu pia, hivyo akaiadhibu Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amri hii ilikuwa mbaya machoni pa Mungu pia; hivyo akaiadhibu Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno hilo likawa baya machoni pa Mungu; kwa hiyo akawapiga Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu hakupendezwa na jambo hilo kwa hiyo akaiadhibu Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili likawa baya machoni pake Mungu, kwa hiyo akawapiga Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno hilo likawa baya machoni pa Mungu; kwa hiyo akawapiga Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu hakupendezwa na jambo lile kwa hiyo akaazibu Waisraeli.