1 Chronicles 21:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mwenyezi-Mungu alisema na Gadi, mwonaji wa Daudi, akamwambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akamwambia Gadi, mwonaji wa Daudi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Bwana akanena na Gadi, mwonaji wake Daudi, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mwenyezi-Mungu alisema na Gadi, mwonaji wa Daudi, akamwambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamwambia Gadi, mwonaji wa Daudi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamwambia Gadi, mwonaji wa Daudi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye BWANA akanena na Gadi, mwonaji wake Daudi, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mwenyezi-Mungu alisema na Gadi, mwonaji wa Daudi, akamwambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Bwana akamwambia Gadi aliyekuwa mchunguzaji wake Dawidi kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye BWANA akanena na Gadi, mwonaji wake Daudi, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe akasema na Gadi, mutabiri wa Daudi, akamwambia: