1 Chronicles 22:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa mwanangu, Mwenyezi-Mungu, Mungu wako na awe pamoja nawe ili ufaulu kumjengea nyumba kama alivyosema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sasa, mwanangu, Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe, nawe uwe na mafanikio upate kuijenga nyumba ya Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kama alivyosema utafanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sasa mwanangu, Bwana na awe pamoja nawe; ukafanikiwe, na kuijenga nyumba ya Bwana, Mungu wako, kama alivyonena kwa habari zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa mwanangu, Mwenyezi-Mungu, Mungu wako na awe pamoja nawe ili ufaulu kumjengea nyumba kama alivyosema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sasa, mwanangu, BWANA awe pamoja nawe, nawe uwe na mafanikio upate kuijenga nyumba ya BWANA Mungu wako, kama alivyosema utafanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sasa, mwanangu, bwana awe pamoja nawe, nawe uwe na mafanikio upate kuijenga nyumba ya bwana Mwenyezi Mungu wako, kama alivyosema utafanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sasa mwanangu, BWANA na awe pamoja nawe; ukafanikiwe, na kuijenga nyumba ya BWANA, Mungu wako, kama alivyonena kuhusu habari zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa mwanangu, Mwenyezi-Mungu, Mungu wako na awe pamoja nawe ili ufaulu kumjengea nyumba kama alivyosema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa mwanangu, Bwana awe na wewe, ufanikiwe ukimjengea Bwana Mungu wako nyumba, kama alivyosema kwa ajili yako wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sasa mwanangu, BWANA na awe pamoja nawe; ukafanikiwe, na kuijenga nyumba ya BWANA, Mungu wako, kama alivyonena kwa habari zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Sasa, mwana wangu, Yawe, Mungu wako, akuwe pamoja nawe kusudi uweze kumujengea nyumba kama vile alivyosema.