1 Chronicles 22:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akupe busara na akili ili atakapokupa uongozi juu ya Israeli, uzishike sheria zake Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu na akupe hekima na ufahamu wakati atakuweka juu ya Israeli, ili uweze kuishika Torati ya Mwenyezi Mungu, Mungu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana na akupe busara na akili, akakuagizie juu ya Israeli; ili uishike torati ya Bwana, Mungu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akupe busara na akili ili atakapokupa uongozi juu ya Israeli, uzishike sheria zake Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA na akupe hekima na ufahamu wakati atakapokuweka juu ya Israeli, ili uweze kuishika sheria ya BWANA Mungu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana na akupe hekima na ufahamu wakati atakuweka juu ya Israeli, ili uweze kuishika Torati ya bwana Mwenyezi Mungu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA na akupe busara na akili, akakuagizie juu ya Israeli; ili uishike Torati ya BWANA, Mungu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akupe busara na akili ili atakapokupa uongozi juu ya Israeli, uzishike sheria zake Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena Bwana na akupe akili na utambuzi, atakapokuagiza kuwa mkuu wao Waisiraeli, uyaangalie Maonyo ya Bwana Mungu wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA na akupe busara na akili, akakuagizie juu ya Israeli; ili uishike torati ya BWANA, Mungu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akupe hekima na akili kusudi atakapokupa uongozi juu ya Israeli, ushike sheria za Yawe, Mungu wako.