1 Chronicles 22:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unao wafanyakazi wengi: Kuna wachonga mawe, waashi, maseremala na mafundi wa kila aina wenye ujuzi mwingi;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unao wafanyakazi wengi: Wachonga mawe, waashi na maseremala, pamoja na watu walio na ustadi katika kila kazi
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kwako kuna mafundi wengi, wenye kuchonga na kufanyiza kazi ya mawe na miti, na kila aliye mstadi kwa kazi yo yote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unao wafanyakazi wengi: kuna wachonga mawe, waashi, maseremala na mafundi wa kila aina wenye ujuzi mwingi;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unao wafanyakazi wengi: Wachonga mawe, waashi na maseremala, pamoja na watu walio na ustadi katika kila kazi
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unao wafanyakazi wengi: Wachonga mawe, waashi na maseremala, pamoja na watu walio na ustadi katika kila kazi
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kwako kuna mafundi wengi, wenye kuchonga na kufanya kazi ya mawe na miti, na kila aliye stadi kwa kazi yoyote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unao wafanyakazi wengi: Kuna wachonga mawe, waashi, maseremala na mafundi wa kila aina wenye ujuzi mwingi;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata mafundi unao wengi, wachonga mawe na waashi na maseremala, tena kwa kila kazi wako wanaoijua vema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kwako kuna mafundi wengi, wenye kuchonga na kufanyiza kazi ya mawe na miti, na kila aliye mstadi kwa kazi yo yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uko na watumishi wengi: kuna wachongaji wa mawe, wajengaji, waseremala na wafundi wa kila aina wenye ujuzi mwingi