1 Chronicles 22:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wa kufua dhahabu, fedha, shaba na chuma. Haya! Anza kazi! Mwenyezi-Mungu na awe pamoja nawe!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa kufua dhahabu, fedha, shaba na chuma, mafundi wasiohesabika. Sasa basi anza kazi hii, naye Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ya dhahabu, ya fedha, na ya shaba, na ya chuma, hapana hesabu; basi inuka ushike kazi, naye Bwana na awe pamoja nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wa kufua dhahabu, fedha, shaba na chuma. Haya! Anza kazi! Mwenyezi-Mungu na awe pamoja nawe!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa kufua dhahabu, fedha, shaba na chuma, mafundi wasiohesabika. Sasa basi anza kazi hii, naye BWANA awe pamoja nawe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa kufua dhahabu, fedha, shaba na chuma, mafundi wasiohesabika. Sasa basi anza kazi hii, naye bwana awe pamoja nawe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ya dhahabu, ya fedha, na ya shaba, na ya chuma, hapana hesabu; basi inuka ushike kazi, naye BWANA na awe pamoja nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wa kufua dhahabu, fedha, shaba na chuma. Haya! Anza kazi! Mwenyezi-Mungu na awe pamoja nawe!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dhahabu na fedha na shaba na vyuma havihesabiki; haya! Inuka, kazifanye kazi hizo! Naye Bwana na awe na wewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ya dhahabu, ya fedha, na ya shaba, na ya chuma, hapana hesabu; basi inuka ushike kazi, naye BWANA na awe pamoja nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wa kufua zahabu, feza, shaba na chuma. Basi sasa, anza kazi! Yawe akuwe pamoja nawe!”