1 Chronicles 22:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zaidi ya hayo, Daudi aliwaamuru viongozi wote wa Waisraeli wamsaidie Solomoni mwanawe, akisema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Daudi akawaamuru viongozi wote wa Israeli wamsaidie Sulemani mwanawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Daudi akawaamuru wakuu wote wa Israeli, kwamba wamsaidie Sulemani mwanawe, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zaidi ya hayo, Daudi aliwaamuru viongozi wote wa Waisraeli wamsaidie Solomoni mwanawe, akisema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Daudi akawaamuru viongozi wote wa Israeli wamsaidie Solomoni mwanawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Daudi akawaamuru viongozi wote wa Israeli wamsaidie Sulemani mwanawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Daudi akawaamuru viongozi wote wa Israeli, kwamba wamsaidie Sulemani mwanawe, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zaidi ya hayo, Daudi aliwaamuru viongozi wote wa Waisraeli wamsaidie Solomoni mwanawe, akisema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi akawaagiza wakuu wote wa Waisiraeli kumsaidia mwanawe Salomo, akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Daudi akawaamuru wakuu wote wa Israeli, kwamba wamsaidie Sulemani mwanawe, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaidi ya hayo, Daudi akawaamuru viongozi wote wa Waisraeli wamusaidie mwana wake Solomono, akisema: