1 Chronicles 22:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, Mwenyezi-Mungu Mungu wenu hayuko pamoja nanyi? Je, hajawapa amani katika pande zote? Yeye aliwatia wakazi wa nchi hii mikononi mwangu na sasa wako chini ya Mwenyezi-Mungu na watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaambia, “Je, Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, si yuko pamoja na ninyi? Pia si amewapa amani pande zote? Kwa maana amewatia wenyeji wa nchi mkononi mwangu, nayo nchi iko chini ya Mwenyezi Mungu na watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Si Bwana, Mungu wenu, aliye pamoja nanyi? Na kuwastarehesha pande zote? Kwa kuwa wenyeji wa nchi amewatia mkononi mwangu; nayo nchi imetiishwa mbele za Bwana, na mbele ya watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, Mwenyezi-Mungu Mungu wenu hayuko pamoja nanyi? Je, hajawapa amani katika pande zote? Yeye aliwatia wakazi wa nchi hii mikononi mwangu na sasa wako chini ya Mwenyezi-Mungu na watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaambia, “Je, BWANA Mungu wenu si yuko pamoja na ninyi? Pia si amewapa raha pande zote? Kwa maana amewatia wenyeji wa nchi mkononi mwangu, nayo nchi iko chini ya BWANA na watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaambia, “Je, bwana Mwenyezi Mungu wenu si yuko pamoja na ninyi? Pia si amewapa raha pande zote? Kwa maana amewatia wenyeji wa nchi mkononi mwangu, nayo nchi iko chini ya bwana na watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Si BWANA, Mungu wenu, aliye pamoja nanyi? Na kuwapa amani pande zote? Kwa kuwa wenyeji wa nchi amewatia mkononi mwangu; nayo nchi imetiishwa mbele za BWANA, na mbele ya watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, Mwenyezi-Mungu Mungu wenu hayuko pamoja nanyi? Je, hajawapa amani katika pande zote? Yeye aliwatia wakazi wa nchi hii mikononi mwangu na sasa wako chini ya Mwenyezi-Mungu na watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Bwana Mungu wenu hakuwa nanyi akiwapatia kutulia pande zote? Kwani wote waliokaa katika nchi hii amewatia mkononi mwangu, nchi hii yote ikashurutishwa kumtii Bwana nao walio ukoo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Si BWANA, Mungu wenu, aliye pamoja nanyi? Na kuwastarehesha pande zote? Kwa kuwa wenyeji wa nchi amewatia mkononi mwangu; nayo nchi imetiishwa mbele za BWANA, na mbele ya watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Yawe, Mungu wenu hayuko pamoja nanyi? Hajawapa amani katika pande zote? Yeye aliwatia wakaaji wa inchi hii katika mikono yangu na sasa wako chini ya Yawe na watu wake.