1 Chronicles 22:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbao za mierezi ambazo Daudi aliletewa na Wasidoni na Watiro zilikuwa hazihesabiki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akatoa magogo ya mwerezi yasiyohesabika, kwa kuwa Wasidoni na Watiro walikuwa wamemletea Daudi idadi kubwa ya mierezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mierezi isiyo na idadi; kwa kuwa Wasidoni na watu wa Tiro wakamletea Daudi mierezi tele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbao za mierezi ambazo Daudi aliletewa na Wasidoni na Watiro zilikuwa hazihesabiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akatoa magogo ya mierezi yasiyohesabika, kwa kuwa Wasidoni na Watiro walikuwa wamemletea Daudi, idadi kubwa ya mierezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akatoa magogo ya mierezi yasiyohesabika, kwa kuwa Wasidoni na Watiro walikuwa wamemletea Daudi idadi kubwa ya mierezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mierezi isiyo na idadi; kwa kuwa Wasidoni na watu wa Tiro walimletea Daudi mierezi tele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbao za mierezi ambazo Daudi aliletewa na Wasidoni na Watiro zilikuwa hazihesabiki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena miti mingi ya miangati isiyohesabika, kwani Wasidoni na Watiro wakamletea Dawidi miti mingi ya miangati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mierezi isiyo na idadi; kwa kuwa Wasidoni na watu wa Tiro wakamletea Daudi mierezi tele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbao za mierezi ambazo Daudi aliletewa na Wasidoni na Watiro zilikuwa hazihesabiki.