1 Chronicles 22:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Daudi akamwita Solomoni mwanawe, akamwagiza amjengee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli nyumba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akamwita Sulemani mwanawe, akamwagiza kujenga nyumba kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo akamwita Sulemani mwanawe, akamwagiza amjengee Bwana, Mungu wa Israeli, nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Daudi akamwita Solomoni mwanawe, akamwagiza amjengee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli nyumba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akamwita Solomoni mwanawe akamwagiza kujenga nyumba kwa ajili ya BWANA, Mungu wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akamwita Sulemani mwanawe akamwagiza kujenga nyumba kwa ajili ya bwana, Mungu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo akamwita Sulemani mwanawe, akamwagiza amjengee BWANA, Mungu wa Israeli, nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Daudi akamwita Solomoni mwanawe, akamwagiza amjengee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli nyumba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamwita mwanawe Salomo, akamwagiza kumjengea Bwana Mungu wa Isiraeli nyumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo akamwita Sulemani mwanawe, akamwagiza amjengee BWANA, Mungu wa Israeli, nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Daudi akamwita mwana wake Solomono, akamwagiza amujengee Yawe, Mungu wa Israeli, nyumba.