1 Chronicles 22:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akamwambia Solomoni, “Mwanangu, nilikusudia moyoni mwangu kumjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu nyumba ili kumtukuza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akamwambia Sulemani: “Mwanangu, nilikuwa na jambo hili ndani ya moyo wangu, kujenga nyumba kwa ajili ya Jina la Mwenyezi Mungu, Mungu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akamwambia Sulemani mwanawe, Kwangu mimi nia yangu ilikuwa kujenga nyumba kwa ajili ya jina la Bwana, Mungu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akamwambia Solomoni, “Mwanangu, nilikusudia moyoni mwangu kumjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu nyumba ili kumtukuza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akamwambia Solomoni, “Mwanangu, nilikuwa na jambo hili ndani ya moyo wangu kujenga nyumba kwa ajili ya Jina la BWANA Mungu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akamwambia Sulemani: “Mwanangu, nilikuwa na jambo hili ndani ya moyo wangu kujenga nyumba kwa ajili ya Jina la bwana Mwenyezi Mungu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akamwambia Sulemani mwanawe, Kwangu mimi nia yangu ilikuwa kujenga nyumba kwa ajili ya jina la BWANA, Mungu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akamwambia Solomoni, “Mwanangu, nilikusudia moyoni mwangu kumjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu nyumba ili kumtukuza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo Dawidi akamwambia Salomo: Mwanangu, mimi nalitaka kwa moyo kulijengea Jina la Bwana Mungu wangu nyumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akamwambia Sulemani mwanawe, Kwangu mimi nia yangu ilikuwa kujenga nyumba kwa ajili ya jina la BWANA, Mungu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akamwambia Solomono: “Mwana wangu, nilikusudia ndani ya moyo wangu kumujengea Yawe, Mungu wangu, nyumba kwa kumutukuza.