1 Chronicles 22:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, utapata mwana, ambaye atatawala kwa amani kwa sababu nitampa amani na maadui zake wote wa jirani. Jina lake litakuwa Solomoni, kwa maana katika siku za utawala wake, atailetea Israeli amani na utulivu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini utakuwa na mwana ambaye atakuwa mtu wa amani na utulivu, nami nitampa utulivu mbele ya adui zake wote pande zote. Jina lake ataitwa Sulemani, nami nitawapa Israeli amani na utulivu wakati wa utawala wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tazama, utazaliwa mwana, atakayekuwa mtu wa kustarehe; nami nitamstarehesha mbele ya adui zake pande zote; kwani jina lake litakuwa Sulemani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, utapata mwana, ambaye atatawala kwa amani kwa sababu nitampa amani na maadui zake wote wa jirani. Jina lake litakuwa Solomoni, kwa maana katika siku za utawala wake, atailetea Israeli amani na utulivu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini utakuwa na mwana ambaye atakuwa mtu wa amani na utulivu nami nitampa utulivu mbele ya adui zake wote pande zote. Jina lake ataitwa Solomoni, nami nitawapa Israeli amani na utulivu wakati wa utawala wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini utakuwa na mwana ambaye atakuwa mtu wa amani na utulivu nami nitampa utulivu mbele ya adui zake wote pande zote. Jina lake ataitwa Sulemani, nami nitawapa Israeli amani na utulivu wakati wa utawala wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tazama, utapata mwana, atakayekuwa mtu wa amani; nami nitampa amani mbele ya adui zake pande zote; kwani jina lake litakuwa Sulemani, nami nitawapa Israeli amani na utulivu siku zake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, utapata mwana, ambaye atatawala kwa amani kwa sababu nitampa amani na maadui zake wote wa jirani. Jina lake litakuwa Solomoni, kwa maana katika siku za utawala wake, atailetea Israeli amani na utulivu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama, kwako atazaliwa mwana, yeye atakuwa mtu wa kutulia, nami nitamtulizia adui zake wote pande zote, kwani jina lake ataitwa Salomo (Mtulivu), nami nitampatia utengemano na utulivu kwao Waisiraeli katika siku zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tazama, utazaliwa mwana, atakayekuwa mtu wa kustarehe; nami nitamstarehesha mbele ya adui zake pande zote; kwani jina lake litakuwa Sulemani, nami nitawapa Israeli amani na utulivu siku zake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo, utapata mwana ambaye atatawala kwa amani kwa sababu nitamupa amani na waadui zake wote wa jirani. Jina lake litakuwa Solomono, kwa maana katika siku za utawala wake, atailetea inchi ya Israeli amani na utulivu.