1 Chronicles 23:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Shimei walikuwa viongozi wanne: Yahathi, Zina, Yeushi na Beria.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao wana wa Shimei walikuwa: Yahathi, Zina, Yeushi na Beria. Hawa walikuwa wana wa Shimei: wanne kwa jumla.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Shimei; Yahathi, na Zina, na Yeushi, na Beria. Hao wanne walikuwa wana wa Shimei.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Shimei walikuwa viongozi wanne: Yahathi, Zina, Yeushi na Beria.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao wana wa Shimei walikuwa wanne: Yahathi, Ziza, Yeushi na Beria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao wana wa Shimei walikuwa wanne: Yahathi, Zina, Yeushi na Beria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Shimei; Yahathi, na Zina, na Yeushi, na Beria. Hao wanne walikuwa wana wa Shimei.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Shimei walikuwa viongozi wanne: Yahathi, Zina, Yeushi na Beria.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Simei walikuwa: Yahati na Zina na Yeusi na Beria, hawa wanne walikuwa wana wa Simei.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Shimei; Yahathi, na Zina, na Yeushi, na Beria. Hao wanne walikuwa wana wa Shimei.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wengine wane wa Simei walikuwa: Yahati, Zina, Yeusi na Beria.