1 Chronicles 23:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yahathi ndiye aliyekuwa mkuu wao, akifuatiwa na Ziza. Lakini Yeushi na Beria, kwa vile hawakuwa na wana wengi, walichukuliwa na ukoo mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yahathi alikuwa wa kwanza na Ziza wa pili, lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; kwa hiyo walihesabiwa kama jamaa moja, wakapewa wajibu kwa pamoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yahathi alikuwa mkubwa wao, na Zina alikuwa wa pili; lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; basi wakawa mbari ya baba kwa kuhesabiwa pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yahathi ndiye aliyekuwa mkuu wao, akifuatiwa na Ziza. Lakini Yeushi na Beria, kwa vile hawakuwa na wana wengi, walichukuliwa na ukoo mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yahathi alikuwa wa kwanza na Ziza wa pili, lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; kwa hiyo walihesabiwa kama jamaa moja, wakapewa wajibu kwa pamoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yahathi alikuwa wa kwanza na Ziza wa pili, lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; kwa hiyo walihesabiwa kama jamaa moja, wakapewa wajibu kwa pamoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yahathi alikuwa mkubwa wao, na Zina alikuwa wa pili; lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; basi wakahesabiwa pamoja kama ukoo mmoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yahathi ndiye aliyekuwa mkuu wao, akifuatiwa na Ziza. Lakini Yeushi na Beria, kwa vile hawakuwa na wana wengi, walichukuliwa na ukoo mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Yahati alikuwa mkubwa, naye Ziza wa pili; lakini Yeusi na Beria hawakuwa na wana wengi, kwa hiyo walihesabiwa kuwa mlango mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yahathi alikuwa mkubwa wao, na Zina alikuwa wa pili; lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; basi wakawa mbari ya baba kwa kuhesabiwa pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yahati ndiye aliyekuwa mukubwa wao, akifuatwa na Zina. Lakini Yeusi na Beria, kwa vile hawakukuwa na wana wengi, walihesabiwa kama vile ukoo mumoja.