1 Chronicles 23:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wana wa Mose, mtu wa Mungu, hutajwa miongoni mwa kabila la Lawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Musa mtu wa Mungu walihesabiwa kama sehemu ya kabila la Lawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kwa habari za Musa, mtu wa Mungu, wanawe hutajwa miongoni mwa kabila ya Lawi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wana wa Mose, mtu wa Mungu, hutajwa miongoni mwa kabila la Lawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Mose mtu wa Mungu walihesabiwa kama sehemu ya kabila la Lawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Musa mtu wa Mungu walihesabiwa kama sehemu ya kabila la Lawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kwa habari za Musa, mtu wa Mungu, wanawe hutajwa miongoni mwa kabila la Lawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wana wa Mose, mtu wa Mungu, hutajwa miongoni mwa kabila la Lawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mose akawa mtu wa Mungu, wanawe wakatajwa majina yao penye shina la Lawi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kwa habari za Musa, mtu wa Mungu, wanawe hutajwa miongoni mwa kabila ya Lawi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wana wa Musa, mutu wa Mungu wanatajwa katika kabila la Lawi.