1 Chronicles 23:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliyekuwa mkuu miongoni mwa wana wa Gershomu ni Shebueli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa Gershomu: Shebueli alikuwa wa kwanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Gershomu; Shebueli mkuu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliyekuwa mkuu miongoni mwa wana wa Gershomu ni Shebueli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa Gershomu: Shubaeli alikuwa wa kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa Gershomu: Shebueli alikuwa wa kwanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Gershomu; Shebueli mkuu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliyekuwa mkuu miongoni mwa wana wa Gershomu ni Shebueli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Gersomu mkubwa wao alikuwa Sebueli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Gershomu; Shebueli mkuu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukubwa kati ya wana wa Gersoni alikuwa: Sebueli.