1 Chronicles 23:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Hebroni walikuwa wanne: Mkuu wao alikuwa Yeria, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli na wa nne Yekameamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Hebroni walikuwa: Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Hebroni; Yeria mkuu wao, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Hebroni walikuwa wanne: mkuu wao alikuwa Yeria, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli na wa nne Yekameamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Hebroni walikuwa: Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Hebroni walikuwa: Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Hebroni; Yeria mkuu wao, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Hebroni walikuwa wanne: Mkuu wao alikuwa Yeria, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli na wa nne Yekameamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Heburoni mkubwa wao alikuwa Yeria, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli na wa nne Yekamamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Hebroni; Yeria mkuu wao, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Hebroni walikuwa: Yeria, mukubwa wao; Amaria, wa pili; Yahazieli, wa tatu; na Yekameamu, wa ine.