1 Chronicles 23:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Daudi aliwakusanya wakuu wote wa Israeli, makuhani na Walawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akawakusanya viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawakusanya wakuu wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Daudi aliwakusanya wakuu wote wa Israeli, makuhani na Walawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akawakusanya pamoja viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akawakusanya pamoja viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawakusanya wakuu wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Daudi aliwakusanya wakuu wote wa Israeli, makuhani na Walawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawakusanya wakuu wote wa Waisiraeli na watambikaji na Walawi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawakusanya wakuu wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Daudi akawakusanya wakubwa wote wa Israeli, makuhani na Walawi.