1 Chronicles 23:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Merari alikuwa na wana wawili: Mali na Mushi. Wana wa Mali walikuwa wawili: Eleazari na Kishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Wana wa Mahli walikuwa: Eleazari na Kishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Merari; Mali na Mushi. Wana wa Mali; Eleazari, na Kishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Merari alikuwa na wana wawili: Mali na Mushi. Wana wa Mali walikuwa wawili: Eleazari na Kishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Wana wa Mahli walikuwa: Eliyazari na Kishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Wana wa Mahli walikuwa: Eleazari na Kishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Merari; Mali na Mushi. Wana wa Mali; Eleazari, na Kishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Merari alikuwa na wana wawili: Mali na Mushi. Wana wa Mali walikuwa wawili: Eleazari na Kishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Merari walikuwa Mahali na Musi, nao wana wa Mahali walikuwa Elazari na Kisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Merari; Mali na Mushi. Wana wa Mali; Eleazari, na Kishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Merari walikuwa: Mali na Musi. Wana wa Mali walikuwa: Eleazari na Kisi.