1 Chronicles 23:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eleazari alifariki bila kupata mtoto wa kiume, ila mabinti tu. Mabinti hao waliolewa na binamu zao, wana wa Kishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Eleazari akafa bila ya kuwa na wana: alikuwa na binti tu. Binamu zao, wana wa Kishi, wakawaoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafa Eleazari, wala hakuwa na wana, ila binti tu; na ndugu zao, wana wa Kishi, wakawaoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eleazari alifariki bila kupata mtoto wa kiume, ila mabinti tu. Mabinti hao waliolewa na binamu zao, wana wa Kishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eliyazari akafa bila kuwa na wana: alikuwa na binti tu. Binamu zao, wana wa Kishi, wakawaoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Eleazari akafa bila ya kuwa na wana: alikuwa na binti tu. Binamu zao, wana wa Kishi, wakawaoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafa Eleazari, wala hakuwa na wana, ila mabinti tu; na ndugu zao, wana wa Kishi, wakawaoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eleazari alifariki bila kupata mtoto wa kiume, ila mabinti tu. Mabinti hao waliolewa na binamu zao, wana wa Kishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elazari akafa pasipo kupata wana wa kiume, alipata wa kike tu, nao wana wa Kisi wakawaoa hao ndugu zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafa Eleazari, wala hakuwa na wana, ila binti tu; na ndugu zao, wana wa Kishi, wakawaoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eleazari alikufa bila mwana, lakini wabinti tu. Wabinti wale wakaolewa na binamu zao, wana wa Kisi.