1 Chronicles 23:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alisema, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, amewapa watu wake amani, naye ataishi Yerusalemu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Daudi alikuwa amesema, “Kwa vile Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, amewapa watu wake amani, na amekuja kuishi Yerusalemu milele,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Daudi alisema, Bwana, Mungu wa Israeli, amewastarehesha watu wake; naye hukaa Yerusalemu milele;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alisema, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, amewapa watu wake amani, naye ataishi Yerusalemu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana Daudi alikuwa amesema, “Kwa vile BWANA, Mungu wa Israeli amewapa watu wake raha na amekuja kuishi Yerusalemu milele,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana Daudi alikuwa amesema, “Kwa vile bwana, Mungu wa Israeli amewapa watu wake raha na amekuja kuishi Yerusalemu milele,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa Daudi alisema, BWANA, Mungu wa Israeli, amewastarehesha watu wake; naye hukaa Yerusalemu milele;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alisema, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, amewapa watu wake amani, naye ataishi Yerusalemu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani Dawidi alisema: Kwa kuwa Bwana Mungu wa Isiraeli ameupatia ukoo wake utulivu, tena kwa kuwa atakaa Yerusalemu kale na kale,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa Daudi alisema, BWANA, Mungu wa Israeli, amewastarehesha watu wake; naye hukaa Yerusalemu milele;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akasema: “Yawe, Mungu wa Israeli, amewapa watu wake amani, naye ataishi Yerusalema kwa milele.