1 Chronicles 23:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, Walawi hawatahitaji tena kulibeba hema takatifu au vyombo vyake vya ibada.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walawi hawahitaji tena kubeba Maskani wala chombo chochote cha utumishi wake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala Walawi hawahitaji tena kuichukua maskani, na vyombo vyake vyote kwa utumishi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, Walawi hawatahitaji tena kulibeba hema takatifu au vyombo vyake vya ibada.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walawi hawahitaji tena kubeba Maskani wala chombo cho chote cha utumishi wake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walawi hawahitaji tena kubeba Maskani wala chombo chochote cha utumishi wake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala Walawi hawahitaji tena kuichukua maskani, na vyombo vyake vyote kwa utumishi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, Walawi hawatahitaji tena kulibeba hema takatifu au vyombo vyake vya ibada.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
sasa Walawi hawana tena kazi za kulichukua hilo Kao na vyombo vyake vyote vya kulitumikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala Walawi hawahitaji tena kuichukua maskani, na vyombo vyake vyote kwa utumishi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Walawi hawatahitaji tena kubeba hema takatifu au vyombo vyake vya ibada.”