1 Chronicles 23:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulingana na maagizo ya mwisho aliyotoa Daudi, Walawi wote waliofikia umri wa miaka ishirini waliandikishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulingana na maagizo ya mwisho ya Daudi, Walawi walihesabiwa kuanzia umri wa miaka ishirini au zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kwa maneno ya mwisho ya Daudi, hao wana wa Lawi walihesabiwa, wenye miaka ishirini na zaidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulingana na maagizo ya mwisho aliyotoa Daudi, Walawi wote waliofikia umri wa miaka ishirini waliandikishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulingana na maagizo ya mwisho ya Daudi, Walawi waliohesabiwa ni wale wa kuanzia umri miaka ishirini au zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulingana na maagizo ya mwisho ya Daudi, Walawi waliohesabiwa ni wale wa kuanzia umri wa miaka ishirini au zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kwa maneno ya mwisho ya Daudi, hao wana wa Lawi walihesabiwa, wenye miaka ishirini na zaidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulingana na maagizo ya mwisho aliyotoa Daudi, Walawi wote waliofikia umri wa miaka ishirini waliandikishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwa maagizo ya Dawidi ya mwisho wana wa Lawi walihesabiwa wao waliomaliza miaka ishirini na zaidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kwa maneno ya mwisho ya Daudi, hao wana wa Lawi walihesabiwa, wenye miaka ishirini na zaidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulingana na maagizo ya mwisho Daudi aliyotoa, Walawi wote waliofikia umri wa miaka makumi mbili waliandikishwa.