1 Chronicles 23:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na walisimama kumshukuru na kumsifu Mwenyezi-Mungu kila siku asubuhi na jioni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia ulikuwa wajibu wao kila asubuhi kumshukuru na kumsifu Mwenyezi Mungu. Iliwapasa pia kufanya hivyo jioni
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao wasimame kila asubuhi kumshukuru na kumsifu Bwana, na jioni vivyo hivyo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na walisimama kumshukuru na kumsifu Mwenyezi-Mungu kila siku asubuhi na jioni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia ulikuwa wajibu wao kila asubuhi kumshukuru na kumsifu BWANA. Iliwapasa pia kufanya hivyo jioni
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia ulikuwa wajibu wao kila asubuhi kumshukuru na kumsifu bwana. Iliwapasa pia kufanya hivyo jioni
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao wasimame kila asubuhi kumshukuru na kumsifu BWANA, na jioni vivyo hivyo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na walisimama kumshukuru na kumsifu Mwenyezi-Mungu kila siku asubuhi na jioni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena iliwapasa kusimama siku kwa siku kulipokucha, wakimshukuru Bwana na kumtukuza, na vilevile kulipokuchwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao wasimame kila asubuhi kumshukuru na kumsifu BWANA, na jioni vivyo hivyo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walisimama kwa kumushukuru na kumusifu Yawe kila siku asubui na magaribi,