1 Chronicles 23:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na wakati wa siku za Sabato, mwezi mwandamo na sikukuu, hapo sadaka za kuteketezwa zilipotolewa kwa Mwenyezi-Mungu. Sheria ziliwekwa kuhusu idadi ya Walawi walioagizwa kufanya kazi hizo daima mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wakati wowote sadaka za kuteketezwa zilipotolewa kwa Mwenyezi Mungu siku za Sabato na kwenye sikukuu za Mwezi Mwandamo na katika sikukuu nyingine zilizoamriwa. Iliwapasa kuhudumu mbele za Mwenyezi Mungu mara kwa mara kwa idadi maalum na kwa namna waliyokuwa wamepewa maelekezo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kumtolea Bwana sadaka zote za kuteketezwa, katika siku za sabato, za mwezi mpya, na za sikukuu zilizoagizwa, kwa hesabu kadiri ya agizo lake, daima mbele za Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na wakati wa siku za Sabato, mwezi mwandamo na sikukuu, hapo sadaka za kuteketezwa zilipotolewa kwa Mwenyezi-Mungu. Sheria ziliwekwa kuhusu idadi ya Walawi walioagizwa kufanya kazi hizo daima mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na wakati wo wote sadaka za kuteketezwa zilipotolewa kwa BWANA siku za Sabato na kwenye sikukuu za Mwezi Mwandamo na katika sikukuu nyingine zilizoamuriwa. Iliwapasa kuhudumu mbele za BWANA mara kwa mara kwa idadi maalum na kwa namna waliyokuwa wamepewa maelekezo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wakati wowote sadaka za kuteketezwa zilipotolewa kwa bwana siku za Sabato na kwenye sikukuu za Mwezi Mwandamo na katika sikukuu nyingine zilizoamriwa. Iliwapasa kuhudumu mbele za bwana mara kwa mara kwa idadi maalum na kwa namna waliyokuwa wamepewa maelekezo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kumtolea BWANA sadaka zote za kuteketezwa, katika siku za sabato, za mwezi mpya, na za sikukuu zilizoagizwa, kwa hesabu kadiri ya agizo lake, daima mbele za BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na wakati wa siku za Sabato, mwezi mwandamo na sikukuu, hapo sadaka za kuteketezwa zilipotolewa kwa Mwenyezi-Mungu. Sheria ziliwekwa kuhusu idadi ya Walawi walioagizwa kufanya kazi hizo daima mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena iliwapasa kumtolea Bwana ng'ombe za tambiko za kuteketezwa nzima za siku za mapumziko na za miandamo ya mwezi na za sikukuu kwa hesabu zao zilizowekwa za kumtolea Bwana pasipo kukoma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kumtolea BWANA sadaka zote za kuteketezwa, katika siku za sabato, za mwezi mpya, na za sikukuu zilizoagizwa, kwa hesabu kadiri ya agizo lake, daima mbele za BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na wakati wa siku za Sabato, mwandamo wa mwezi na sikukuu zingine, pale sadaka za kuteketezwa kwa moto zilipotolewa kwa Yawe. Sheria ziliwekwa kuelekea hesabu ya Walawi walioagizwa kufanya kazi zile siku zote mbele ya Yawe.