1 Chronicles 23:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao, Daudi aliwagawanya: 24,000 kati yao wawe wasimamizi wa kazi ya nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu, 6,000 wawe maofisa na waamuzi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, elfu ishirini na nne watasimamia kazi ya Hekalu la Mwenyezi Mungu na elfu sita watakuwa maafisa na waamuzi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika hao ishirini na nne elfu walikuwa wa kusimamia kazi ya nyumba ya Bwana; na sita elfu walikuwa maakida na makadhi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao, Daudi aliwagawanya: 24,000 kati yao wawe wasimamizi wa kazi ya nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu, 6,000 wawe maofisa na waamuzi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, 24,000 watasimamia kazi ya Hekalu la BWANA na 6,000 watakuwa maafisa na waamuzi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, 24,000 watasimamia kazi ya Hekalu la bwana na 6,000 watakuwa maafisa na waamuzi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika hao elfu ishirini na nne walikuwa wa kusimamia kazi ya nyumba ya BWANA; na elfu sita walikuwa maofisa na waamuzi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao, Daudi aliwagawanya: 24,000 kati yao wawe wasimamizi wa kazi ya nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu, 6,000 wawe maofisa na waamuzi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika hawa wakapewa watu 24000 kuziangalia kazi za nyumba ya Bwana, watu 6000 kuwa wenye amri na waamuzi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika hao ishirini na nne elfu walikuwa wa kusimamia kazi ya nyumba ya BWANA; na sita elfu walikuwa maakida na makadhi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, Daudi akawagawanya: elfu makumi mbili na nane kati yao wakuwe wasimamizi wa kazi ya nyumba ya Yawe, elfu sita wakuwe wakubwa na waamuzi,